Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya kujenga uwezo juu ya msingi wa mawasiliano, namma ya kujibu interview pamoja na uwandikaji wa CV.
PROGRAM
Siku ya kwanza ya Mafunzo: Uwasilishaji wa mada juu ya Utengenezaji wa CV na Mawasiliano. Pia atakuwepo mgeni kutoka Portugal kuzungumzia utengenezaji wa mbolea kwa muda wa dakika 30. Hii itakuwa kama zawadi.
Siku ya Pili ya Mafunzo: uwasilishaji wa mada kuhusu interview na mjadala kwa vikundi.
SIKU?
Alhamisi 23/09/2021
Ijumaa 24/09/2021
WAKATI?
Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06:00 mchana.
SEHEMU?
Mafunzo yatafanyika Ofisi Kuu ya PDS iliyipo Kibele, Tunguu.
Address:
SH/T/B/132 Zanzibar University Road, Kibele Tunguu
P.O. BOX 2189 Zanzibar, Tanzania