Herstart: Innovate the future
Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana wote hasa kutoka Mkoa wa Kusini Unguja kushiriki katika Mafunzo ya Siku mbili yenye lengo la kujenga uwezo katika masuala ya Biashara zenye tija na kukuza ujuzi na uwelewa wa namna gani Biashara hizo zinaweza kuwa chachu ya kufikia usawa wa kijinsia, kulinda Mazingira, kutatua mabadiliko ya tabia ya …