Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya bure kuhusu huduma ya kwanza (first aid), mafunzo ni ya siku mbili. Washiriki watafundishwa namna ya kutowa huduma ya kwanza kwa mgonjwa au mtu aliyeumia. Namna bora ya kumuokoa mgonjwa au mtu aliyeumia.
PROGRAM
Siku ya kwanza: nadharia juu ya namna ya kumuokoa muathirika.
Siku ya pili: kufanya kwa vitendo yale yote yaliyosomeshwa siku ya kwanza.
SIKU?
Jumanne 12/10/2021
Jumatano 13/10/2021
WAKATI?
Saa 02:30 asubuhi hadi saa 06:00 mchana.
SEHEMU?
Mwenge Community College (MCC)
Amani Round-About
Katika jengo la CCM mkoa
Kwa maelezo zaidi
Simu: 0676644411/0625995761