PDS ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuongeza fursa za ajira kwa jamii. PDS inatarajia kufanya ya mafunzo ya bure ya siku mbili ya Masoko (Marketing) kwa lengo la kutowa uelewa juu ya namna bora ya kuitangaza biashara yako
Baada ya siku mbili ya mafunzo kwa wale waliokuwa tayari kujifunza zaidi katika masuala ya Masoko na watapata fursa ya ku practise zaidi na zaidi na pia watapata nafasi ya kufanya field katika Taasisi ya PDS ili kufanya mazoezi ya watakachokisomea
PROGRAM
Siku ya kwanza ya Mafunzo: Uwasilishaji wa mada juu ya Mikakati ya masoko, Namna ya kufanya biashara yako kuwa tofauti na kuingia katika ushindani ya soko (Zaidi tutagusia Targeting, Positioniting, Benchmarking) pia kutakuwa na majaribio (practice)
Siku ya Pili ya Mafunzo: Namna ya kulipanga duka lako ama store yako, namna ya kuwasiliana na wateja na pia utajifunza namna ya kutumia mitandao ya kijamii katika kuitangaza biashara yako
SIKU?
Jumatatu 18/10/2021
Jumatatu 25/10/2021
WAKATI?
Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06;00 mchana
SEHEMU?
Mafunzo yatafanyika Ofisi Kuu ya PDS iliyipo Kibele Tungu.
Address:
SH/T/B/132 Zanzibar University Road, Kibele, Tunguu
P.O. BOX 2189 Zanzibar, Tanzania
Kwa maelezo zaidi
Simu: 0676644411/0625995761