PDS ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuongeza fursa za ajira kwa jamii. PDS inatarajia kufanya ya mafunzo ya bure ya siku mbili ya Microfinance kwa lengo la kutowa uelewa juu ya Mataji midogo kwa wajasiriamali au kwa mtu yoyote anayependa kuanzisha Biashara.
Baada ya siku mbili ya mafunzo kwa wale waliokuwa tayari kujifunza zaidi katika masuala ya Mitaji Midogo kwa wajasirimali watapata fursa ya kushiriki mafunzo mengine yatakayo fanyika Paradise House.
PROGRAM
Siku ya kwanza ya Mafunzo: Uwasilishaji wa mada juu ya Mitaji Midogo na kazi kwa vitendo
Siku ya Pili ya Mafunzo: Mijadala kwa Vikundi juu ya mawazo ya Kibiashara
SIKU?
Jumatatu 20/09/2021
Jumanne 21/09/2021
WAKATI?
Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06;00 mchana
SEHEMU?
Mafunzo yatafanyika Ofisi Kuu ya PDS iliyipo Kibele Tungu.
Address:
SH/T/B/132 Zanzibar University Road, Kibele, Tunguu
P.O. BOX 2189 Zanzibar, Tanzania