Nutrition Training 18/10/2021-19/10/2021

//

Taasisi ya PDS Zanzibar kwa mara nyingine inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya NUTRITION mambo yatakayo fundishwa ni.

PROGRAM

Jinsi gani unaweza kuboresha lishe kwa kutumia bajeti kidogo.

Jinsi gani unaweza kuweka kipaumbele chakula fulani juu ya chengine.

SIKU?

Jumatatu 18/10/2021

Jumanne 19/10/2021

WAKATI?

Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06:00 mchana.

SEHEMU?

Mafunzo yatafanyika Ofisi Kuu ya PDS iliyipo Kibele, Tunguu

P.O. BOX 2189 Zanzibar, Tanzania

PDS is a charitable organization which empowers local people living in the rural areas of Zanzibar by providing skills and additional education.