PDS Zanzibar inapenda kuwatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya lishe (Basic Nutrition).
PROGRAM
Mafunzo yatakua ya siku mbili ( 2 ).
Siku ya kwanza tutajifunza namna ya mlo kamili (Nutritional).
Siku ya pili tutajifunza namna ya kuandaa chakula chenye lishe kwa kutumia kiwango kidogo cha fedha.
SIKU?
Jumanne tarehe 30/11/2021.
WAKATI?
Saa 3:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana.
SEHEMU?
Ukumbi wa CCM Mkoa, Mahonda.
KWA MAELEZO ZAIDI
Tuma jina lako kamili, Namba ya Simu na unapoishi kupitia moja kati ya namba hizi ~ 0672554575 au 0688411345.