Reusable Sanitary Pads Training (from 25/10/2021 to 05/10/2021)

//

PDS ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuongeza fursa za ajira kwa jamii. PDS inatarajia kufanya ya mafunzo ya week mbili kuhusu utengenezaji wa Taulo za kike kwa lengo la kutowa uelewa juu ya namna bora ya kutengeneza Taulo za kike nyumbani, kwa kutumia rasilimali tulizonazo ambazo hazina aina yoyote ya kemikali.

Baada ya wiki mbili ya mafunzo kwa wale ambao watafanya vizuri zaidi wataajiriwa hapa PDS kwa lengo la kuongeza nguvu katika kutekeleza mradi huu wa utengenezaji na usambazaji wa Taulo za kike.

Angalizo: Wale ambao hawajui hata kusukuma ringi katika charhani, Watatakiwa kusoma wiki mbili za ziada (Yani, mafunzo haya yatachukua mwezi mmoja)

PROGRAM

Weki ya kwanza: Elimu juu ya umuhimu wa kutumia Taulo za kike zisizo na chemikali juu ya Afya endelevu (Organic Sanitary pads for Sustanable Health), pia tutajikita zaidi juu ya elimu ya nadharia kuhusu utengenezaji wa pedi ikiwemo kupima na kukata).

Wiki ya pili: Kuanza kushona, Mazowezi haya ya kushona yataendelea kwa weki moja, baada ya hapo kila Mwanafunzi atatakiwa kushona pad moja kama ni sehemu ya kuthibitisha juu ya ufahamu wa kweli wa kushona pads. Walimu wa PDS kwenye somo la pad wakiridhishwa na kazi hiyo ya mwanafunzi, watamthibitisha mwanafunzi huyo na atapatiwa cheti cha kuhitimu mafunzo.

SIKU?

Jumatatu 18/10/2021

Jumatatu 25/10/2021

WAKATI?

Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06:00 mchana/Saa 8 mchana hadi saa 10 jioni

SEHEMU?

Mafunzo yatafanyika Ofisi Kuu ya PDS iliyipo Kibele Tungu.

Address:

SH/T/B/132 Zanzibar University Road, Kibele, Tunguu

P.O. BOX 2189 Zanzibar, Tanzania

na pia Mafunzo yatatolewa Kaskazini katika eneo litakalotangazwa hivi Punde

Kwa maelezo zaidi

Simu: 0676644411/0625995761

PDS is a charitable organization which empowers local people living in the rural areas of Zanzibar by providing skills and additional education.