Sanitary Pads Program

//

Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana wa kike na wakiume kushiriki katika mafunzo ya UTENGENEZAJI WA TAULO ZA KIKE ZA KISASA (PADS).

PROGRAM

Ushonaji wa Taulo za kike za kisasa.

SIKU?

Yatakayoanza kuanzia tarehe 2 Novemba, 2021 na kumaliza tarehe 30 Novemba, 2021.

WAKATI?

Saa 02:30 asubuhi – 06:00 mchana (PADS).

SEHEMU?

Paradise House

Kibele, Tunguu

KWA MAELEZO ZAIDI

Andikisha jina lako mapema kupitia namba moja wapo kati ya hizi kwani nafasi ni chache 0655 877785/0672554575.

Usisahau kutu follow ktk Instagram account yetu ili uendelee kupata matukio mbali mbali https://www.instagram.com/pds_zanzibar/

PDS is a charitable organization which empowers local people living in the rural areas of Zanzibar by providing skills and additional education.