Taasisi ya PDS Zanzibar inapenda kuwatangazia wale wote ambao wameomba nafasi ya kujifunza lugha za alama leo rasmi yamefunguliwa 2 Novemba,2021 na kumaliza 3 Januari,2022.
PROGRAM
Utangulizi kuhusiana na lugha za alama.
Namna ya kutumia lugha ya alama kwa ufasaha.
SIKU?
Kuanzia tarehe 2 mwezi wa 11 hadi tarehe 3 mwezi wa 2, mwaka 2022.
Mafunzo yatakua siku 3 kwa wiki: Jumanne, Jumatano na Alhamisi.
WAKATI?
Saa 08:00 mchana hadi saa 10:30 jioni.
SEHEMU?
PDS-Makao Makuu Kibele
Kwa maelezo zaidi
Simu: 0672554575/0655877785