Communication Training (CV & Interview) 23/09/2021-24/09/2021
Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya kujenga uwezo juu ya msingi wa mawasiliano, namma ya kujibu interview pamoja na uwandikaji wa CV. Siku ya kwanza ya Mafunzo: Uwasilishaji wa mada juu ya Utengenezaji wa CV na Mawasiliano. Pia atakuwepo mgeni kutoka Portugal kuzungumzia utengenezaji wa mbolea kwa muda wa dakika 30. …