Aude

Lisa the “Teacher”

Jambo! I’m Lisa, and I’ve spent two great months in PDS. I found a lively and welcoming atmosphere here, built by locals and volunteers together. During my stay, I mostly focused on establishing a microfinance project and had the opportunity to interact with many young and motivated students to whom I was giving trainings on …

Read more

Zanzibarrrrr with Mathilde!

Discover the experience of the French volunteer Mathilde and her friends in Zanzibar! Special Thanks to Mathilde for making this wonderful video!

Elivina Project

Reusable Sanitary Pads Training (from 25/10/2021 to 05/10/2021)

PDS ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuongeza fursa za ajira kwa jamii. PDS inatarajia kufanya ya mafunzo ya week mbili kuhusu utengenezaji wa Taulo za kike kwa lengo la kutowa uelewa juu ya namna bora ya kutengeneza Taulo za kike nyumbani, kwa kutumia rasilimali tulizonazo ambazo …

Read more

First Aid Free Training 19/10/2021

Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya bure kuhusu huduma ya kwanza (first aid), mafunzo ni ya siku mbili. Washiriki watafundishwa namna ya kutowa huduma ya kwanza kwa mgonjwa au mtu aliyeumia. Namna bora ya kumuokoa mgonjwa au mtu aliyeumia. PROGRAM Siku ya kwanza: nadharia juu ya namna ya kumuokoa muathirika. Siku …

Read more

Marketing Training 18/10/2021 & 25/10/2021

PDS ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuongeza fursa za ajira kwa jamii. PDS inatarajia kufanya ya mafunzo ya bure ya siku mbili ya Masoko (Marketing) kwa lengo la kutowa uelewa juu ya namna bora ya kuitangaza biashara yako Baada ya siku mbili ya mafunzo kwa wale …

Read more

Nutrition Training

Nutrition Training 18/10/2021-19/10/2021

Taasisi ya PDS Zanzibar kwa mara nyingine inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya NUTRITION mambo yatakayo fundishwa ni. PROGRAM Jinsi gani unaweza kuboresha lishe kwa kutumia bajeti kidogo. Jinsi gani unaweza kuweka kipaumbele chakula fulani juu ya chengine. SIKU? Jumatatu 18/10/2021 Jumanne 19/10/2021 WAKATI? Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06:00 mchana. SEHEMU? Mafunzo yatafanyika Ofisi …

Read more

First Aid Free Training 12/10/2021-13/10/2021

Taasisi ya PDS Zanzibar inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya bure kuhusu huduma ya kwanza (first aid), mafunzo ni ya siku mbili. Washiriki watafundishwa namna ya kutowa huduma ya kwanza kwa mgonjwa au mtu aliyeumia. Namna bora ya kumuokoa mgonjwa au mtu aliyeumia. PROGRAM Siku ya kwanza: nadharia juu ya namna ya kumuokoa muathirika. Siku …

Read more

Cleaning Campaign at PDS School

The Adventure of Pilar in PDS Zanzibar

Hello, My name is Pilar and I’m writing on my last day of adventure at PDS, the hardest time. I arrived at PDS with high expectations that I gained through my research of their projects and comments of people who had volunteered before. Still, they managed to surprise me. Here, I lived the most welcoming …

Read more

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya PDS Zanzibar Charitable Organization anakaribisha maombi ya nafasi tatu (3) za kazi za kujitolea (local volunteers) katika skuli ya PDS iliopo Tunguu. SIFA ZA MUOMBAJI Mwenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au cha Sita (VI), Awe amehitimu cheti/stashahada katika moja ya fani zifuatazo; Maendeleo ya jamii, uwalimu, lishe ama …

Read more

Nutrition Training

Nutrition Training 30/09/2021-01/10/2021

Taasisi ya PDS Zanzibar kwa mara nyingine inawatangazia vijana kushiriki katika mafunzo ya NUTRITION mambo yatakayo fundishwa ni. PROGRAM Jinsi gani unaweza kuboresha lishe kwa kutumia bajeti kidogo. Jinsi gani unaweza kuweka kipaumbele chakula fulani juu ya chengine. SIKU? Alkhamis 30/09/2021 Ijumaa 01/10/2021 WAKATI? Saa 03:00 asubuhi hadi saa 06:00 mchana. SEHEMU? Mafunzo yatafanyika Ofisi …

Read more

PDS is a charitable organization which empowers local people living in the rural areas of Zanzibar by providing skills and additional education.